--Tunatoa huduma zetu kila siku,na tunafanya huduma ya delivery mikoa yote ya Tanzania.

--Malipo yanafanyika kwa lipa namba.

--Tunasafirisha kwa njia ya bus,boat na anga.

--Tuma majina yako,namba ya simu inayopatikana na mahali ulipo kwaajili ya kuandika kwenye mzigo wako.

--Dai risiti ya mzigo wako kabla ya mzigo wako kusafirishwa