Je unasumbuliwa na mwanga wa jua, jua limekuwa changamoto kwako, ukiwa juani hupati uhuru wa kuona vizuri #HIDDENGLASSES tupo kwaajili ya tatizo hilo zipo miwani za kupunguza mwanga wa jua na zitakazo kufanya usahau kabisa shida uliyo kuwa nayo. #HIDDENGLASSES suluhisho kwa wenye kusumbuliwa na mwanga Tupige kupitia namba +255679629265 WhatsApp or call Tunapatikana Ubungo Mawasiliano Bus Stand hapa Karibuni sana