Je unasumbuliwa na mwanga wa computers simu, Tv na hujui ni wapi utapata msaada wa kutibu tatizo lako, na je utumiapo vifaa hivi unapata maumivu ya kichwa na uwezo wa kukaa karibu na vifaa hivi kwa muda mrefu umepungua #HIDDENGLASSES tupo kwaajili yako zipo miwani special kwa matumizi ya computer, simu, Tv zitakazo kufanya usahau kabisa shida uliyo kuwa nayo karibu #HIDDENHLASSES